Thursday, May 29, 2008

SHAMIM NDANI YA LEO TENA !

Akiwa na Joyce Kiria hapo juu!
Akiwa na Dina Marious hapo juu
NI ALHAMIS YA TAREHE 22 ALIKUWA NDANI YA CLOUDS FM YA JIJINI DAR KATIKA KIPINDI CHA LEO TENA NA DINAH MARIOUS NA JOYCE KIRIA AKITUWAKILISHA MITINDO IPI IKO JUU KWA SASA NA IPI IMEPUMZISHWA KWA WAKATI HUU MPAKA HAPO BAADAE MTEMBELEE www.2080fashions.blogspo.com


SHERIA NA MAVAZI

sheria huyoooo!
Kwa mara ya nyingine tena namtambulisha kwenu kwenye blog hii matata si mwingine ni SHERIA,Huyu jamaaa ni mkali sana wa Designer mavazi mbalimbali ya kike na ya kiume ebu mtembelee kwenye blog yake www. sherianamavazi.blogspot.com.

Wednesday, May 28, 2008

Fashion hii ya nywele ipo juu ile mbaya.

Mamaaa Teddy Kalonga
Ma bibi na Mabwana kwa mara ya kwanza namtambulisha kwenu kwenye blog hii matata si mwingine bali ni Teddy Kalonga (TK) nenda kamtembelee
www.total-knockout.blogspot.com uone mambo yake ,Sisy huyu anachacharika sana na life yake uko ughaibu.Big up Tk.

Monday, May 26, 2008

Supa Modo na Fashion yake.





NAFURAHI KUWAJULISHA WATU WOTE WANAOISHI KATIKA MJI WA MWANZA (ROCK CITY BABE) NIMEFUNGUA FASHION BOUTIQUE AMBAYO IPO MLANGO MMOJA OPPOSITE JAMBO STATION..
THE NAME OF THE SHOP IS VENNYSH FASHION BOUTIQUE PLZ GO AND CHECK IT OUT..I HAVE EVERYTHING U WANT AND U WILL LOVE ALL THE COLLECTIONS DIRECT FROM US of A - FROM CLOTHES,SHOES TO HANDBAGS,GLASSES,PERFUME,NGUO ZA HARUSI NA WASINDIKIZAJI WAKE DESIGN TOFAUTI TOFAUTI..
NA NITAFUNGUA MOJA DAR SOONER OR LATER MUNGU AKIPENDA SIMNAJUA TENA NYUMBANI FIRST... HAHAAHAAAA.
NITATOA CATALOGUE HIVI KARIBUNI KWA HIYO KAMA UTATAKA KU-ORDER UTAWEZA PIA KU-ORDER AS I SAID U WILL NEVER BE DISAPPOINTED GO AND CHECK IT OUT OR U CAN CALL 0763 533 755 ASK FOR MAGRETH
THANKS YA'LL AND GOD BLESS YOU..SINCERELY,
CYNTHIA MASASI
www.cynthiamasasi.com

Sunday, May 25, 2008

Thursday, May 22, 2008

Shaluwa

Ni blog inayokusababishia mambo ya malove jinsi gani ya kumuweka mpenzi wako aendane na wakati na jinsi gani utakavyo mudu nae kutafuta wachuma/Marafiki.Mtembelee www.shaluwanew.blogspot.com
Utajifunza mambo mengi sana kutoka kwake.

Tuesday, May 20, 2008

Monday, May 19, 2008

Kali kuliko!.`

Kuna fashion nyingine acha tu zikupite.
Ila kuna nyingine usikubali zikupite kabisa mrembo.

Sunday, May 18, 2008

Fashionjunkii Fashion hiyo!




Fashion za Fashionjunkii iko bomba ile mbaya,Mtembee www.fashionjunkii.blogspot.com.



Thursday, May 15, 2008

Warembo wa bongo.

Jamani wabongo kama mamtoni vile siku hizi,nimependa fashion zao za nguo na mapozi yao.

Tuesday, May 13, 2008

Fashion

Toka hivi dada mrembo wa Tanzania,itakuwa bomba ile mbayaaaaaaa.

Monday, May 12, 2008

Akhasante sana Mdau wangu.


Mie sina maneno mdau akinitumia kitu nakiweka kama kilivyo,Fancy anapenda kuwashukuru wazazi wake wote wawili kwa malezi yao na pia anasema siku ya mama ni muhimu kwake hana cha kumlipa ni Mungu pekee ndio anajua,Thanks Fancy nami nakuambia usikubali mtu akukatishe tamaa kwa kile unachotaka kufanya maishani mwako,wa bongo wanasema hivi (UKITAKA KUPATA MARAFIKI WEMA LAZIMA MAADUI WAWE WENGI),songa mbele usirudi nyuma kamwe.Habari ndio hiyo.








Sunday, May 11, 2008

Happy Mother's Day! I love u Mum!

My mum anavyoniambia jinsi alivyopata shida kwangu wakati anajifungua pale Muhimbili apati picha,Ila anamshukuru sana Mungu nimetoka salama.Pole mum na I love u so much,Sina chakukulipa zaidi ninachoweza kusema Thanks Godbless u.

New Fashion



Mie waukweli huwa sina mchecheto nawawekeeni mambo yanayoenda na wakati.


Thursday, May 8, 2008

Tuesday, May 6, 2008

Leo ninae mwanadada Fina Mango!

Mhhh,kwani nimebisha Fina?Sijabisha.
Hapo juu akiwa kwenye poziiii.
Kp na Fina. Jamani leo ninae mwanadada mrembo Fina Mango si mgeni masikioni mwa watu,Ni mtangazaji wa clouds Fm, awapo mzigo na mwenzie Kp unatamani usitoke mpk kipendi kiishe,ni wacheshi sana,Angalia fashion yake ya dreads za nywele nimezipenda sana ni ndefu usipe,na pozi zake za kufa mtu.


Monday, May 5, 2008

Leo tunae Mrembo machachari sana awapo studio!

Kwani nimebisha Dina ?sijabisha smile hiyo.
Hapo juu yupo kichachanduchachandu zaidi.
Hapo juu akiwa studio,88.4 cloud's Fm,jijini Dar!
Leo tena kama kinavyoitwa kipindi chake ninaye mwana dada mrembo Dina,angalia style yake ya nywele na mavazi yake anakwenda na wakati,ni mpole,mcheshi kwa watu,na hana majivuno,Namkubali sana Dina kwa mavazi yake na awapo mzigoni huwa sikosi kusikiliza na hata kumtumia sms kwenye kipengele chake cha chachandu la kila siku,Leo tena ni kipendi kinachorusha kuanzia saa 3/7 za mchana.Big up Mamaaa Dina.