Friday, March 14, 2008

“Mungu anipe nn tena jamani apa au mnasemaje?”

6 comments:

Anonymous said...

sijui nisemee! noma sana!

Anonymous said...

Yeah its true you are great you represent AFRICAN QUEEN please usije ukaitafuta popote mkorogo utakuharibu na utapoteza identity yako.

You are great,

Its Me

Ronnie

Anonymous said...

tru bibie.Mungu akupe nini tena.quoting frm Ngwea,anasema, "She got Gwan".

Its me,Warda.

Anonymous said...

subiri tuseme sisi wadau usiusemee moyo.

Anonymous said...

mi nimekupenda tu ulivyo sina la zaidi!!waonekana huna makuu. mimi ni mwanamke usijedhania vingine!! Matty uko juu...unajua ukiacha kusema kinakereketa ku moyo teh teh

Anonymous said...

Nimependa huo mguu wako dada kama wa KIHAYA???? HIYO ndio Identity sisi WAHAYA,

Avoid Mkorogo bibie....