Wednesday, October 28, 2009

WAUKWELI YUKO FITIIIIIIIIIIIIIIIIIIII

WADAU NINAYO FURAHA KUBWA KUWAJULISHA KUWA SALA ZENU KWA WAUKWELI ZIMESIKIKA NA SASA BINTI YUKO FITI BAADA YA KUFANYIWA OPERATION YA KICHWA KUTOA UVIMBE ULIOKUWA KICHWANI!

I HOPE SOON SHE WILL START BLOGING KAMA KAWAAAAAAAAAAAAAAAAA

HAVE A GUD TYME
BRAZATK
www.mwakilaga.blogspot.com

Thursday, October 8, 2009

WAUKWE ANAUMWA WADAU

HELLO WADAU WA BLOG HII NINGEPENDA KUCHUKUA NAFASI HII KUWAJULISHA KUWA HOST WA BLOG HII WAUKWELI ANAUMWA NA ANAHITAJI MAOMBEZI YENU KWANI ALIFANYIWA OPERATION YA KICHWA NA TAARIFA ZILIZONIFIKIA HIVI PUNDE NI KWAMBA AMEPOTEZA UWEZO WAKE WAKUONA!

NITAFANYA JITIHADA ZAKWENDA KUMUONA NA KUJA KURIPOTI TAARIFA KAMILI KUHUSIANA NA HILI!

ASANTENI NA MUNGU AWABARIKI!

NDIMI,
Brazatk wa www.mwakilaga.blogspot.com
Email: brazatk@yahoo.com

Wednesday, March 18, 2009

HONGERA SISY SHAMIM/ZEZE

Anaitwa Igral ni baby girl wa mwana blog mwenzetu,Hapa anasiku chache hata week bado toka azaliwe.Hongera sana Zeze kwa kutuletea mtoto mzuri.

MAMBO YA KAKAKUONA HAYA NA FATM.


MAMBO YA KAKAKUONA HAYO,KAMA HUKUENDA NIMEKUONJESHA KIDOGO TU.TULI ENJOY SANA.HONGERA SN FATMA KAZI NZURI MNO.Thursday, March 12, 2009

HAPPY BDAY BABY NANCY!

Juu Nancy akiwa amependeza sn,Aamini km hiyo ndio cake yke.
Yes km mnavyoiona wadau hiyo cake c mchezo cjui wameagizia kwa TK marekani au
Nancy katikati na wapambe wake wakipata msosi na Juice bomba kbs kutoka
New ZanzibaHotel.Watoto mko juu sana.
Jamani mi sina mengi sana ya kuongea,Pic zenyewe zinajieleza ilikuwa bonge la
party ilifanyika Zanzibar tarehe 8/3/2009,Baby nancy amefikisha miaka mi 3.Mama ake huwa anapenda sana matashistiti ilimradi tu anakwenda na wakati,Anampenda sn mwanae ameshamfanyia mambomengi sn anasoma ila kubwa zaidi amemfungulia bank yke,Ukiwa na mamy km huyu utapata raha duniani.Nimepemda Nancy alivyovaa.Hongera mama kwa kumfanyia mwanao bday nzuri kwa kuwaita na watoto wenzie wamshangilie inapendeza kwa kweli,Ni mfano wa kuigwa.Waukweli na wadau wake wote wanakutakia Maisha marefu baby Nancy,Uendelee kuwa mzuri ivyoivyo,Usome sana.Mungu akupe miaka 100 zaidi. yaeh lv u.
Sunday, March 8, 2009

HAPPY WOMAN'S DAY.

MUMMY WANGU MARTHA POPOTE PALE ULIPO NAKUPENDA SN NA WAKINA MAMA WOT WA TANZANIA NA DUNIANI KOTE NAWAPENDA PIA NAWATAKIA SIKUKUU NJEMA YENYE AMANI NA UPENDO NA WALE WALIOPO MA HOSPITALIN NAWAPA POLE SN MUNGU ATAWATIA NGUVU MTAPONA.NAWA DEDICATIA WIMO WA BANANA WA MAMA YANGU UWAFIKIE POPOTE PALE MLIKO.