Wednesday, March 18, 2009

MAMBO YA KAKAKUONA HAYA NA FATM.


MAMBO YA KAKAKUONA HAYO,KAMA HUKUENDA NIMEKUONJESHA KIDOGO TU.TULI ENJOY SANA.HONGERA SN FATMA KAZI NZURI MNO.4 comments:

Anonymous said...

fatma amour dada upo mbali kwa kipaji tunakuombea ufike mbali zaidi na zaidi ya hapo na wadau wakuone ili wakufikishe mbali hawa ndio watu wa kuwasaidia wenye vibaji kama hivi tanzania tunaweza ila tuwezeshwe!

Anonymous said...

hongera fatma amour

Anonymous said...

kilicho kuwa wazi lazima kisemwe ni kweli umewafunika madesigner wote na wakutendee haki katika kazi zako. kwani sijwahi kuona ubunifu uliojaaliwa na Mungu. tupo pamoja dodoma

La Princessa said...

this was a lovly fashion show it seems