Thursday, March 12, 2009

HAPPY BDAY BABY NANCY!

Juu Nancy akiwa amependeza sn,Aamini km hiyo ndio cake yke.
Yes km mnavyoiona wadau hiyo cake c mchezo cjui wameagizia kwa TK marekani au
Nancy katikati na wapambe wake wakipata msosi na Juice bomba kbs kutoka
New ZanzibaHotel.Watoto mko juu sana.
Jamani mi sina mengi sana ya kuongea,Pic zenyewe zinajieleza ilikuwa bonge la
party ilifanyika Zanzibar tarehe 8/3/2009,Baby nancy amefikisha miaka mi 3.Mama ake huwa anapenda sana matashistiti ilimradi tu anakwenda na wakati,Anampenda sn mwanae ameshamfanyia mambomengi sn anasoma ila kubwa zaidi amemfungulia bank yke,Ukiwa na mamy km huyu utapata raha duniani.Nimepemda Nancy alivyovaa.Hongera mama kwa kumfanyia mwanao bday nzuri kwa kuwaita na watoto wenzie wamshangilie inapendeza kwa kweli,Ni mfano wa kuigwa.Waukweli na wadau wake wote wanakutakia Maisha marefu baby Nancy,Uendelee kuwa mzuri ivyoivyo,Usome sana.Mungu akupe miaka 100 zaidi. yaeh lv u.
4 comments:

Anonymous said...

Hongera nancy kwa kutimiza miaka 3, Mungu akupe afya njema na maisha marefu. Uwe na akili shuleni ehhh

SERENGETI GRILL said...

happy birth day Nancy

Anonymous said...

Kwa nia njema kabisa nakushauri u improve maana blog yako mh.

Anonymous said...

Nakutakia maisha marefu Nancy! umpende Mungu na UWE MTII KWA WAZAZI! Uwe mwelevu na usome hadi uitwe prof.Nancy by Aunt Elyc