Wednesday, March 18, 2009

HONGERA SISY SHAMIM/ZEZE

Anaitwa Igral ni baby girl wa mwana blog mwenzetu,Hapa anasiku chache hata week bado toka azaliwe.Hongera sana Zeze kwa kutuletea mtoto mzuri.

10 comments:

Anonymous said...

cute!! cute!!Baraka za bwana Yesu ziwe juu yake,akue kimo na akili,awe mtii ,mwenye upendo na mcha Mungu.By Aunt Elyc

Anonymous said...

ni baby IQRA sio IGRA.

Anonymous said...

una uhakika kuhusu jina la mtoto wa shamim

Anonymous said...

Anaitwa IQRA

mumyhery said...

mdogo wangu mbona kimya kimezidi?

viva afrika said...

ni kazi kubwa kumlea akiwa tumboni, ni shughuli kubwa zaidi kwenye dunia yetu ilojaa kila aina ya mambo, hongera na mungu akuongoze na kukujalia hekima uleapo. hongera sana

Anonymous said...

hello... hapi blogging... have a nice day! just visiting here....

Anonymous said...

Kwa mahitaji ya
PARKING, MOVING, STORAGE, TRANSPORTATION & DISTRIBUTION
Samora / Zanaki Street P.O Box 32124 D.S.M. Tel: +255 22 2122392, Mobile +255 713 220570 / +255 777 277680

Anonymous said...

tembelea www.amalhouse.blogspot.com

Simon said...

nice blog of your ..
i like it..
you can see my work as well at
http://samvande.blogspot.com
thanks