Thursday, March 27, 2008

Nancy Sumari.

Miss Tanzania na Miss world Africa 2005-2006,Bibie Nancy Sumari akiwa kwenye pozi mwanana akiwa ana sisitiza jambo flani.Kati ya warembo wa tz yeye anaongoza kuchakarika mambo ya urembo na uwanamitindo mpaka leohii,Hongera kwa hilo Mrembo wetu.

No comments: