Thursday, April 24, 2008

Chaguo langu kutoka visura.

Nafuatilia sana mashindano haya na napiga sana kura,Mimi kama mimi wa ukweli namkubali huyu kisura Emmy yaani yeye ni mkali sana kuliko wenzie,Mungu ambariki ashinde,ata kama hajashinda atabaki kuwa mkali siku zote ajitambue hivyo atauzika tu.

No comments: