Sunday, April 27, 2008

Chaguo langu la mwaka 2008 kisura!

Jamani mie waukweli najikubali kuwa najua kuchagua kitu kinachofaa ona sasa sijaongea na Nancy wala Irine wala jaji yoyote,toka mwanzo wa shindano nilikuwa nafuatilia sana huyu dada alikuwa anajituma zaidi ya wenzie,Nilimuona toka mwazo ndio maana nikasema ni kisura wa mwaka huu,Hongera Emmy.A.Town Mnatisha.Totoo Upo?

3 comments:

Anonymous said...

we wa ukweli ni bor aujiamini na usafiri wako maana sura huna kabsa pua kama jipu

Waukweli said...

Ahsante sana Anonymouns hapo juu ni kweli mungu hawezi kukupa vyote,basi kama ndio hivyo naomba picha yako na wewe nikuweke nione kama umekamilika vyote.Ni hayo tuu.

Anonymous said...

nitakutumia wala usijali very soon..habari ndo hiyo toa basi hiyo hapo juu unatutisha