Monday, April 21, 2008

FACE OF TANZANIA,NANI ATASHINDA?!!


Wote walioingia tano bora ni warembo huyu mrembo namkubali mimi kama mimi Waukweli.Haya ukitaka kupata zawadi unachotakiwa kufanya angalia vitu vyao kwenye luninga ya tbc halafu njoo kwa Shamim otea nani mshindi ukiwa wa kwanza kuotea na kupatia mwisho wa siku utajinyakulia zawadi ya Sandoz katika duka lake liliopo sinza.Neymaya(totoo)upo haya check picha kwa shamim uotee utatumiwa uko ughaibuni.

1 comment:

totoo said...

hehe..kima nimekumisso??hehe..warembo nimewaonaa na mmasaii mwenzangu naye katurepresent...yuko poaa so natural..ht huyo emmy naye avutiaa...hao wawili ndio pendekezzo langu..