Sunday, April 27, 2008

Modo Tatiana

Huyu dada nilikuwa namkubali toka akivyokuwa na kaka yetu,Namkubali jinsi alivyo umodo na kujiamini kwake.Hongera tati.

2 comments:

mumyhery said...

waukweli ulikuwa unanifurahisha sana ulipokuwa unaweka african dress, kwani ndio line yangu mimi kwenye khanga na vitenge, pia naomba uniweke kwenye link.
ahsante

Waukweli said...

Hey Mumy,Thanks kwa kunitembelea usijali yote yanawezekana nitaweka Afrcan dress,nipe link yako nikuweke.