Friday, April 11, 2008

MODO WA KESHO HUYU ANAFAA AU INAKAAJE WADAU??


WADAU LEO NIMEMLETA KWENU MTOTO AMBAYE ANA NDOTO ZA KUWA MODEL MAANA ANAPENDA KUUZA SURA BALAA TUPU!! ILI KUTIMIZA NDOTO ZAKE ANAHITAJI USHAURI WENU ILI NAMI MAMA YAKE [MAMA NI MAMA USITAKE KUHIOJI SANA OH WEWE WAUKWELI UMESHIKA MIMBA LINI SIJUI NINI NA NINIIII?? ELEWA MTOTO WA MWENZIO NI WAKO NAMNUKUU MAMA KIKWETE AU VIPI!] NIWEZE KUMSAIDIA KUTIMIZA NDOTO ZAKE!

WADAU MNASEMAJE SURA hii itafaa kwa Mauzo au atafutiwe dili linGine tuu nami mamayake, nawasikiliza wadau WANGU SIJUI mna maoni gani katika hili.

cku njema na usisahau kubofya www.mwakilaga.blogspot.com kila siku ili uweze kupata sms bomba za kiswahili kwa ajili ya kumtumia umpendaye na kusoma mamo furani ya mahaba au vipi wadau wangu next tyme.

waukweli,

4 comments:

Anonymous said...

anafanana na braza tk, ni mtoto wake nini? hebu niambie rafiki yangu kama ni kweli maana?!!!!

Anonymous said...

apunguze nyama kwanza, shavu dodod

Anonymous said...

HUYU DOGO EBWANA AMINIA ILA NAMFAHAMU VEMA BABA YAKE YAANI TK HUYU MSELE NILIKAMUA NAYE JITE HIGH LEVEL KITAMBO SANA NA TUKAWA TUNABALIZI NAYE HOSTEL!

JAMAA NI MTU WA MCHUPA SANAAAAAA! HUWEZI AMINI MASAWE ALISHAWAHI KUMAKAMATA AKIWA CHICHA BOVU KWENYE NIGHT KALI NA KUBIUSHA HAJALEWA ZAIDI YA KUDAI KUWA AMEPIGA BIA MBILI TATU NA ALIPOULIZWA KWANINI ALIKUNJWA AKAMJIBU MASWA "MKUU SIKU UNATOA SPICHI YAKO PALE KWENYE BWARO LA VIJANA ULISEMA NYINYI NI WATU WAZIMA HIVI SASA FANYENI MAMBO YENU KWA HESHIMA HATA KAMA UKINYWA USILEWE," NAMNUKUU NA HAPO MASWAE AKAWA HANA MBAVU ALIPOULIZWA SASA MBONA UMELEWA AKASEMA SIJALEWA NDIO MAANA NAYAKUMBUKA MANENO YAKO.

ISHU IKAWA ISHU AKAITWA SEKAND MASTA NA WAJADI WAKAJADILI WAKAAMUA KUMUACHIA AKAONDOKA ZAKE!!

MSELA AMINIA SASA SINA HAKIKA KAMA HUYU KIDI ATAKUWA HAKAMUI MCHUPA NA KAMA ANAKAMUA BASI UMODO UTAMSHINDA. sEMA WEWE MAMA YAKE ANAKUNYWA AU HANYI???????

MPE HI MUMEO TK MWAMBIE ASINITUPE MTU WAKE NAJUA ATAKUWA KALALA MAANA JANA MAN WAMESHINDA NA NAVYOMJUA ATAKUWA AMESHANGILIA USHINDI BAA MBAKA ALFAJIRI NA HATA JOB SIAJABU HAJAENDA......

GOROTA- LONDAN, UK

Ash said...

oooooh she is so cute. hiyo miwani show au? mi nampa 100% kuwa model wa watoto coz mashavu anayo na shingo haionekani hivyo ndo vigezo vya baby models