Friday, April 4, 2008

Ni... Miss Jokate MwegeloJokate Mwegelo ni miss aliyepita na ni balozi wa redds aliyepita na mwanamitindo,Mc na hata mtayarishaji wa Matangazo studio.Namkubali anavyochakarika.


3 comments:

Matty said...

Mtoto mrembo sana huyu anavutia.
usijikoroge mwaya!

Anonymous said...

kwakweli katika mamiss walopita nampenda sana huyu binti, namu admire kupita maelezo. nakushauri ujichunge mdogo wangu wasikuharibie dira yako mapapa wa mji huu, umeanza vizuri, natumaini bado unashiriki pale church kama kawaida, am sure umepata malezi mazuri sana, keep it up and take care. wanaume wapo na wataendelea kuwapo chagua wako mmoja akupendae kwa dhati.

Kassano said...

hallo!
am Jonathan to be honest Jokate Mwegelo was da best we ever had in Tanzania. personaly I wish I could have a chance to tell her wht I had but is just okey i hope through this she cn receive it.
+255717096022