Monday, May 12, 2008

Akhasante sana Mdau wangu.


Mie sina maneno mdau akinitumia kitu nakiweka kama kilivyo,Fancy anapenda kuwashukuru wazazi wake wote wawili kwa malezi yao na pia anasema siku ya mama ni muhimu kwake hana cha kumlipa ni Mungu pekee ndio anajua,Thanks Fancy nami nakuambia usikubali mtu akukatishe tamaa kwa kile unachotaka kufanya maishani mwako,wa bongo wanasema hivi (UKITAKA KUPATA MARAFIKI WEMA LAZIMA MAADUI WAWE WENGI),songa mbele usirudi nyuma kamwe.Habari ndio hiyo.
3 comments:

Anonymous said...

Heeee waukweli,Kweli habari ndio hiyo hakuna kukatishwa tamaaa dunia ya leo.Say hey to Fancy.

Anonymous said...

Habari ndio hiyo.

TOTAL KNOCKOUT!!! said...

She is so beautiful! Matilda, huyu dada ni wa ukweli ukweli?Lol