Thursday, May 29, 2008

SHAMIM NDANI YA LEO TENA !

Akiwa na Joyce Kiria hapo juu!
Akiwa na Dina Marious hapo juu
NI ALHAMIS YA TAREHE 22 ALIKUWA NDANI YA CLOUDS FM YA JIJINI DAR KATIKA KIPINDI CHA LEO TENA NA DINAH MARIOUS NA JOYCE KIRIA AKITUWAKILISHA MITINDO IPI IKO JUU KWA SASA NA IPI IMEPUMZISHWA KWA WAKATI HUU MPAKA HAPO BAADAE MTEMBELEE www.2080fashions.blogspo.com


2 comments:

Anonymous said...

Nyie wajasiriamal mnapenda,mnatangazana tu,Haya leo yupo huyo studio kesho atakuwa mwigine ila its Good!

Anonymous said...

mbona kila siku kupigiana debe?kwani hatuoni hata picha za wanawake au post za mkulima?achaeni::mambo ya kubebana hayo:::tuonyesheni hata vigwaya vya walima mpunga;hiyo pia ni fashion ;sio nguo za wazungu tu na wahindi na waarabu na wapaka mikorogo eti mnadai ndio fashion
toenii mavazi na ubunifu wa wakulima
mavazi ni mavazi tu;sio lazima ya wakwavi na wamasai;je wamakonde au wamachinga hawana fashion?
mimi mkereketwa wa london