Sunday, September 21, 2008

NANI ZAIDI KATI YA HAWA MA MODO?

FLAVIANA MATATA

MIRIAM ODEMBA


HAWA ABDULKADIL

HAYA SASA MDAU KAZI KWAKO KUMPIGIA KURA YULE UNAYEMUONA ANAFAA KWAKO YAANI ANAKUWA KIVUTIO KWAKO KILA KUKICHA KATI YA HAO WAREMBO HAPO JUU.WOTE WAKO BOMBA ILA KUNA MMOJA ATAKUWA BOMBA SANA KILA AVAAPO PAMBA NA ANAMVUTO WA KUTOSHA KABISA KULIKO WENZIE WALIOSHINDANISHWA HAPO JUU.TWENDE KAZI.13 comments:

Anonymous said...

FLAVIANA MATATA

Anonymous said...

FLAVIANA SHE IS CUTE

Anonymous said...

Hawa is the best lakini kundi hili kwa kweli wote ni wakali

Anonymous said...

FLAVIANA.

Anonymous said...

Odemba

Anonymous said...

wote wabaya

Anonymous said...

HAWA

Anonymous said...

Matata yuko bomba sana.

Anonymous said...

Matata ni bomba sana

Anonymous said...

MATATA

Anonymous said...

FLAVIAN ANAVUTIA NA BICHWA LAKE

by waukweli said...

MA BIBI NA MA BWANA KWA HESHIMA NA TAHADHIMA NAOMBA NIMTANGAZE MREMBO WETU KWA ROUND HII YA 4 NI FLAVIANA MATATA AMEJINYAKULIA KURA ZA KUTOSHA KABISA.

NAWASHIRIKI WETU NI
FLAVIANA MATATA KURA 7
HAWA ABDULKADIR KURA 2
MIRIAM ODEMBA KURA 2
NASHUKURU WADAU WOTE MLIOWAPIGIA KURA.LIBENEKE LINAENDELEA

Anonymous said...

am goin with ODEMBA on this one...flaviana is cute but odemba is the real deal