Tuesday, October 14, 2008

EVEN SHOES
UMESHAJIULIZA NI VIATU GANI UNAVYOTAKIWA KUVAA EVEN? KAMA HUJAWAHI BASI HUJACHELEWA EBU KATAFUTE KATI YA VIATU HIVYO HAPO JUU NA UPIGE PAMBA YAKO SAFI NA UVAE HIVYO VIATU.UNAETOKA NAE ATAKUKUBALI NA HATOKUACHA KWENYE MITOKO YAKE.SHOSTITO FANYA HIVYO MWAYA UPENDEZE.
NB.
SHOSTI PENDEZA NYWELE ZAKO,VAA VIATU VYAKO VIZURI MFANO NI HUO HAPO JUU.KWANZA MWENDO WAKO UTAKUWA WA TWIGA YAANI WATU WALIOKUZUNGUKA WATAKUKUBALI NA NYWELE UKIWA UMETENGENEZA FRESH UTANIAMBIA HAPAHAPA KWENYE BLOG YETU.MWANA MAMA/MWANA DADA USIBAKI NYUMA PENDEZA WAKATI NDIO HUU.

No comments: