Sunday, October 5, 2008

KATI YA HAWA NANI UNAONA ZAIDI??

Jacky
Jocate
Nancy
Flavianna
Wadau naomba tushiriki kupiga kura,Mchagua mrembo unaemkubali alafu mpigie kura kadri uezavyo,Warembo wote wa kwanza sasa ndio wanaoshindanishwa na atimae kumpata mrembo mmoja anaeenda na wakati kwa mwaka huu kwenye blog hii.Kura yako wewe ndiyo itakayompa mrembo mmoja wapo ushindi na atimaye kuibuka kidedea na kuwa balozi wa blog hii.

4 comments:

Anonymous said...

Jacky

Anonymous said...

Jacky huwa anavutia sana.

Anonymous said...

najua watu wengi watasema jacky bt the girl at the bottm fashion wise kapendeza sana flavianna... if jacky reduced the red i mite have given her some points... thats jus ma fashion opinion

Jesca said...

Jocate is the most