Thursday, October 9, 2008

WEDDING SHOESHAYA SASA WALE WENYE WEDDING YAO SOON SHOES BOMBA SANA NA VINAPATIKANI TANZANIA NA HATA UK.NENDA UKANUNUE UPENDEZE KWENYE WEDDING YAKO.USIWE MVIVU KUTEMBEA MADUKANI.
3 comments:

Anonymous said...

Hi there!
Nimevipenda hivyo viatu shosti especially size ya visigino. Mdogo angu anaolewa December na hayuko confortable na visigino virefu ambapo in most of maduka, wedding shoes viko na visigino virefu. Unaweza kuniambia nitavipata duka gani?
Thanx in advance

PASSION4FASHION.TZ said...

Wow! Waukweli mambo yako nayakubari mpenzi, mavazi yametulia hayo hongera sana.Nirushie basi hiyo tender ya viatu vya huyo mtarajiwa mimi naiweza hiyo kazi ntampatia kiatu anachohitaji yeye anipe tu size e-mail address yake nitajitahidi kumtumia viatu achague au unasemaje shost.

Naomba usi ipublish hii msg. please!!!!

by waukweli said...

DADA HAPO JUU AMBAYE UNATAFUTA VIATU VYA WEDDING VYA MDOGO WAKO UTAPATA TENA KWA BEI NAFUU SANA KUTOKA KWENYE DUKA LA PAMBA ZA KIJANJA NA VIATU VYA KWENDA NA WAKATI,PASSION4FASHIONS DUKA AMBALO LIPO SINZA,CHAKUFANYA NITUMIE MAIL YAKO AU NAMBA YAKO YA SIMU NTAKUPIGIA TUMIA HIZI CONT cool_matilda@yahoo.com au matijay@hotmail.com au simu namba
0785-160099.NITUMIE HATA SMS NTAKUPIGIA.
WAHI SASA.

WAUKWELI MATILDA.