ASIKWAMBIE MTU UKIVAA VIATU VIREFU UNATOKA BOMBA SANA,KWANZA MWENDO WAKO UNABADILIKA UNATEMBEA KM TWIGA YAANI KWA MWANA DADA/MAMA UNAPENDEZA SANA,VAA NGUO YAKO NZURI NYWELE ZAKO UMEWEKA FRESH ZINAPENDEZA BASI MUONEKANO WAKO UNAKUWA NADHIFU SANA.USIWE MVIVU WA KUTEMBELEA VIATU VIREFU.
1 comment:
tuletee bei za vyakula tafadhali
Post a Comment