Wednesday, December 3, 2008

NI JOYCE KIRIA

NI ZAMU YA JOYCE KIRIA KUTOKA NA BLOG YA BONGO MOVIE INAYOITWA www.bongomovies.blogspot.com ,HUYU BINTI NI MTANGAZAJI WA CLOUDS FM NA CHANEL TEN NA NI BIBI HARUSI MTARAJIWA ANATARAJIA KUFUNGA PINGU ZA MAISHA HIVI KARIBUNI,KWA NIABA YA WADAU WOTE WA WAUKWELI WANAKUTAKIA MAANDALIZI MEMA NA MAISHA MEMA YA NDOA.MTANGULIZE MUNGU KWA KILA JAMBO UTAFANIKIWA.

1 comment:

Anonymous said...

waukweli to the fullest..drop mo Ent...