NITAKUWA MCHOYO WA FADHILA KAMA NISIPOTOA SHUKURANI ZANGU KWA WADAU WANGU WAPENDWA WOTE MLIOFANYA KAZI KUBWA KUHAKIKISHA BLOG HII INAENDELEZA LIBENEKE KWA NAMNA MOJA AMA NYINGINE TANGU KUANZISHWA KWAKE MWANZONI MWA MWAKA 2008 NA SASA IMEFANIKIWA KUFIKIA UKINGONI MWA MWAKA 2008 KWA NGUVU ZENU.
NAWASHUKURU SANA WADAU WOTE MLIOKUWA MKITOA MCHANGO WENU KATIKA FASHIONS MBALIMBALI NILIZOKUWA NIKIZIWEKA NA ZAIDI NAWASHUKURU WALE WALIOKUWA WANANIPA CHANGAMOTO MBALIMBALI KATIKA KILA NILICHOKUWA NAFANYA NDANI YA BLOG HII!!
ASANTENI SANA KWANI NAAMINI BILA NYINYI BLOG HII HIVI LEO NINGEIFUNGA KWANI NI UKWELI ULIO WAZI KUWA BLOG ZIPO NYINGI LAKINI SI ZOTE ZINAWASOMAJI WENGI, LAKINI KWA SABABU ZA NYINYI BLOG HII IMEKUWA IKIPATA UMAARUFU MKUBWA KILA KUKICHA,THANKS AGAIN.
SHUKURANI HIZI PIA ZIWAFIKIE
1.TULIZO KILAGA a.k.a BRAZA TK
2.LAZARO KALOBORA a.k.a LKM02
3.FANCY NKUHI
4.MAMAA NANCY
5.NEYMAYA SAIVOYE WA UGHAIBUNI NA WASHKAJI WAKINA MIMI BABA,GLORIA N.K.
SITOWEZA KUWATAJA WATU WOTE ILA NAWASHUKURU SANA MNISAMEHE KAMA SIJAKUTAJA HAPA ,WANABLOG WOTE NILIOKUWA NAO BEGA KWA BEGA WAKINA MROCKY,SHERIA,KP,ZEZE,MUMYHERY,PASSION4FASHIONS,TOTALKNOCKOUT.NK NA WOTE SINA CHA KUWALIPA ILA SIR GOD ATAWALIPA ZAIDI.
ZAIDI YA YOTE NAMSHUKURU SN MUNGU KWA KUNIPA NGUVU,HEKIMA,UTASHI NA KUNIONGOZA MPAKA MDA HUU HAPA LEO.SINA CHA KUMLIPA ZAIDI YA KUMWAMBIA MUNGU ASANTE SANA.
NAWAPENDA SAAAAANA.
HAPPY NEW YEAR 2009
BE BLESSED
waukweli!! phone no +255 0774-674387.
5 comments:
Dah poa na ww pia waukweli.
salamu zimefika.shukrani zikufikie pia wewe kwa kutupa mashavu ya kutosha,kati ya blog nilizozipenda 2008 ,basi hii ni moja wapo,keep it up buddy
many thanks u too mamy!!!!!!!stay well this holiday!!!!!!!cheers Mama Nancy say hellow to Fancy!
Dah!! Kweli vijiwe vingi na kila siku naona kipya (haimaanishi kigeni, bali kipya machoni mwangu). Asante kwa uwepo wako na twaamini libeneke litaendelea mwaka ujao.
Blessings na karibu Changamotoni
ok ok bibie nimekupata na wewe pia mwaka mpya mwema.cheers
justin aka mimi baba
Post a Comment