Saturday, January 3, 2009

CHACHANDU LA LEOTENA!!

JAMANI WADAU MPOO?? KAENI MKAO WA KULA KITABU KINAITWA CHACHANDU LA LEOTENA USIKIPIMIE ZAIDI YA VITABU VYOTE ULIVYOWAHI KUVISOMA,UKIKISOMA HIKI KITABU LAZIMA MAISHA YAKO YATABADILIKA HASWA KIMAPENZI.KUNA MESEJI ZA LOVE,USHAURI NA MAKALA ZA MAHABA,SIMULIZI ZA CHUMBANI,MIKASA YA KWELI YA MAPENZI NA N.K.UKIKIKOSA USIJE JUTA. SOON KITAKUWA MITAANI KWENYE MEZA ZA WAUZA MAGAZETI NCHINI KOTE TANZANIA.KAMA UPO NJE YA TZ WASILIANA NAMI NTAKUTUMIA USIJALI.
MWAKA MPYA NA MAMBO MAPYA.

No comments: