Wednesday, January 28, 2009

GET WELL SOON DEAR MAMA NANCY.

HEY WADAU KWA NIABA YA BLOG YA WAUKWELI NA WANABLOG WOTE WANAKUPA POLE SANA WEWE MAMA NANCY MDAU MKUBWA WA BLOG HII KWA KUFIWA NA MDOGO WAKE UKO IRINGA.MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALA PEMA PEPONI AMINA.TUKO PAMOJA DEAR.

1 comment:

Mama Nancy said...

Asante sana mamy,sina budi kukushukuru wewe kwa kunipa moyo ktk kipindi hiki kigumu cha msiba,namshukuru pia mwenyezi mungu kwa kunipa nguvu na uvumilivu nawapenda wote na nitazidi kuwaombea!
stay blessed waukweli!