Thursday, January 15, 2009

HAPPY ANNIVERSARY TOTAL-KNOCKOUT.

Hongera kwaubunifu wako ulioenda xul.
hiyo pic hapo juu iko kwenye blog yake.
Tk na Bwana Shemejiiiiiiiiiiii.

Hongera sana sisy Tk kwa anniversary,Mwenyezi mungu azidi kukupa uhai uzidi kutupa mambo zaidi ya hayo unayotupa.Waukweli anazidi kukuombea kwa Mungu uzidi kuendeleza libeneke zaidi na zaidi.Zaidi ya yote mlipendeza sana,Bila kusahau cake lol.... Mate yana2toka ukuu........Lini waja ww tz? Miss u sisy.


No comments: