Wednesday, January 7, 2009

MA BIBI HARUSI WATARAJIWA MPOOOO?


Haya sasa ma bi Harusi watarajiwa pamba ndio hizoooo,Mnaotaka kuolewa mwaka huu wa Neema2009.Nguo hizi zinapendaza zaidi kushona ya kwako mwenyewe na si kukodisha.Fanya maandalizi mapema upendeze shosti na kamahujui wapi wakupata fundi wa kukushonea we 2wasiliane nikuelekeze.Mwanamke kupendeza siku hiyo haijirudii best.
Matilda Upo? Bi harusi mtarajiwa na wengine wengiiiiiiiiiii.
3 comments:

mariam said...

Dada waukweli,mimi naitwa mariam pia ni bi harusi mtarajiwa harusi ni mwezi wa pili tarehe 6, nimependa hiyo mishono je nitakupataje ili na mimi nishone.e-mail:mariam_sudi@yahoo.co.uk na simu ni 0787 691405. Tafadhali naomba tuwasiliane.

Mariam.

FJ said...

i love the last dress...so hot!!

Mattylda said...

yap waukweli nimeona mamboz, pls na lile ombi langu pia lifanyie kazi, tupe more pics za magauni ya harusi mamy!