Saturday, January 10, 2009

RAY SHIZOOOOO.BI HARUSI MTARAJIWAAAA.
Hayawi hayawi sasa yamekuwa msanii wa kike hapa nchini bibie Rehema Chalamila anatarajia kufunga pingu za maisha na shem Lord Eyez soon watakuwa Mr & Mrs.Ray shizooo,Kiuno bila mfupa ananibamba sana na uvaaji wake akiwa stejini na unywele anavyouweka me lol namzima sana.Ray C kama ujuavyo mwanamke kupendeza haswa kwenye wedding yako,kuna mishono hapo juu make sure unachukua mmoja wapo utakota ile mbaya.


2 comments:

Anonymous said...

harusi ni lini jamani?
hongera sana bibie..kila mtu na wake

Anonymous said...

Hongera sana Ray C, celebrity wa TZ!
Nakutakia harusi njema na ndoa njema!
Ni binti mcheshi sana pamoja na umaarufu wake anamsalimia kila mtu anaekutana nae.
Nilishawahi kukutana na Ray C mara moja tu 2004 nikamsabahi na kumuuliza uhusiano wake na Betty Mkwasa. Alinijibu vizuri tu!

All the best Ray C!!