Wednesday, February 11, 2009

BADO NIPO NA WAPENDA NAO.Wapendwa wadau bado nipo nipo sana na wapenda nao.Ukiwa km mwanamke/mwanadada kwa nn usiifanye siku iyo ni ya kipekeee?Anza na ndani kwanza tandika kitanda chako vizuri na vikorombwezo vyekundu kama hapo juu inavyo onyesha,siolazima umnunulie zawadi kubwa mpz wako kubwaa, ata ukinunua keki na ikachorwa km hapo juu itakuwa bomba sana.Yn ifanye valentine hii iwe juu kwako na kwake.Mtakuwa juu sana.

No comments: