Sunday, February 1, 2009

HAPPY BIRTHDAY SADOCK


LEO NI HAPPY BIRTHDAY YA SODOCK MUNGU AKUPE MIAKA MINGI ZAIDI NA HERI DUNIANI.KILA UFANYALO AKUBARIKI.ZAIDI YA YOTE AKUPE NGUVU KILA KUKICHA.HAPPY BIRTHDAY MDAU WANGU.NAITAMANI KEKI HIYO JAMANI.
1 comment:

Anonymous said...

Ampe kheri duniani, vp kuhusu akhera? au ndio......!