Wednesday, March 4, 2009

R.I.P SISY REHEMA MWAKANGALE


Mtangazaji wa ITV Rehema Mwakangale amefariki dunia jana asubuhi katika hospital ya Mikocheni alikokuwa amelazwa, kutokana na Ugonjwa wa athma.
Kwa Mujibu wa taarifa kupitia Radio One, mipango ya mazishi itakuwa kwa bibi yake Sinza karibu na Deluxe bar. WAUKWELI "Namkumbuka Rehema eye-brows na tabasamu lake", alikuwa ni mtu ambaye siku zote upenda kutabasamu anapotoa salaam.Alikuwa rafiki wa sisy wangu.Ntakukumbuka daima my lv sisy Rehema
Mola ailaze roho ya marehemu peponiAMINA.

No comments: