Saturday, March 7, 2009

USHAURI WA BURE KWA WEMA. SEPETU


UNAMSHAURI NN WEMA?

11 comments:

Anonymous said...

Hakuna la kumshauri kwani Mama ake ndo wakumlaumu walipomuingiza mtoto mdogo katika Mashindano umri ukiwa bado walitegemea nini?Mzazi ndo wakulaumiwa

Anonymous said...

HUWEZI KUMSHAURI KASHANOGEWA.SASA WW MAMA KAJA KUKUTOLEA DHAMANI UNATAKA KUONDOKA NA HUYO MWANAUME KWELI UNAAKILI KWELI DADA WEMA.TULIA USOME WW BADO MTT SANA.MAISHA BADO YANAKUNGOJA.

Anonymous said...

ANAPASWA KUJITAMBUA KWAMBA YEYE NI DADA MREMBO NA ILI AENDELEE KUWA MREMBO TABIA NJEMA NA HESHIMA KWA WAZAZI,WAKUBWA NA WATOTO NI MUHIMU SANA, UMAARUFU USIKUFANYE UPOTEZE UREMBO WAKO BINTI,MSIMAMO THABITI NI BORA KATIKA MAISHA YAKO.NAKUPENDA SANA UNA KIPAJI CHA KWELI KATIKA UIGIZAJI LAKINI NAUMIA NA SKENDO ZAKO MITAANI.

Anonymous said...

UMALAYA TU HUYO NDIO UNAOMSUMBUA NA ASIPOANGALIA ATAISHIA KUFA NA UKIMWI. WE BINTI GANI UNASHINDWA KUJIHESHIMU NA WALA KUMHESHIMU MZAZI WAKO??? PUMBAVU ZAKE ,WIZI MTUUUP!CHAPA VIBAO

Anonymous said...

EEEBWANA AMECHOKA SANA HUYU DADA ANAFAA KUUZA SAMAKI CHANGU...

Anonymous said...

CIVILIZE BABE GIRL, BE UR SELF, GET AMBICIOUS DEAR

Anonymous said...

Heshima hainunuliwi Wema, umemdhalilisha sana mama yako nakushauri utulie wewe ni mrembo atatokea mwanaume mwenye nia njema na wewe na sio huyo jumbe anakupotezea tu muda wako kwanza hana hata adabu mbele ya mama yako, ni vizuri ujipange upya na life lako my dear we bado mdogo sana una muda wa kujirekebisha!!

Anonymous said...

aachane na kutembea na watu ma super star vinginevyo itampa shida sana ktk maisha yake,hao matozi hawana la maana zaidi ya kuendekeza ngono na wasichana warembo

Anonymous said...

Pole sana dada yetu kwa hayo yaliyokupata tulia kwanza kabla hujaamua kwenda mbele na fikiria maisha yako bado unamuda ya kuyabadirika.

Anonymous said...

kama ameshindwa kumsikiliza mama yake atamsikia nani?hako kabinti ni kalimbukeni.mpaka hapo alipo fika imekula kwake.ataishia kutoa uroda kila kukicha.pole sana wema sepetu.

Anonymous said...

USHAURI WANGU AENDE KANISANI AONANE NA MCHUNGAJI AOMBEWE ANGALAU AOKOKE KABISA MAANA HILO PEPO NI HATARI