Friday, March 28, 2008

Angalia Fashion yake Namkubali huyu MremboBinafsi na mkubali sana Wema ,Kwanza hana Fani moja ata Uigizaji anamudu vizuri sana.Hongera kwa hilo.


2 comments:

Anonymous said...

Wema yuko wapi siku izi mbona kapotea?Bila shaka atakuwa hayupo angekuwepo tungemsikia kwenye magazeti maana ana vimbwaga huyu miss,Ni mzuri na akivaa nguo anapendeza.

shamim a.k.a Zeze said...

LOL...WAUKWELI KARIBU KATIKA MAKAMUZI ...BORA TUWE WENGI TUUNDE CHAMA TUPAMBANE NA WAOSHA VINYWA

ANONY HAPO JUU WEMA HAYUPO BONGO YUKO MASOMONI MALASYA

ZEZE