Sunday, March 30, 2008

Ni Misoji BSS 2008


Huyu dada jamani alikuwa anaimba sana acheni achukue tu mizawadi yake.Juu akiwa mzigoni chini akiwa na MC Jimmy.BIG UP

6 comments:

Anonymous said...

Misoji hongera dada.

Anonymous said...

Misoji umepata zawadi nyingi ww.Hongera kwa kazi nzuri.

Anonymous said...

Ni haki yake kupata zawadi kwani alikuwa akipangilia sauti yake alikuwa akiweza kuipandisha na kuishusha pale ilipo hitajika big up Misoji

usichoke mama kaza buti ufike mbali zaidi

totoo said...

kima wangu wajua kuotea c ndio huyo ulinitajia??..nilisikiliza nyimbo zakee anajitahidi kweli..hlf anaimba kwa hisia..hongera zake!!

Anonymous said...

Totoo nilikuambia walivyoingia tano bora coz nilikuwa nafuatilia sana BSS,Unajua wote walioingia 5bora walikuwa wanaimba mbaya,Ila misoji kawazidi kwa hisia,Namkubali sana tu.Namkubali sana hongera zake popote alipo.
WAUKWELI.

Anonymous said...

hana lolote