Thursday, March 20, 2008

FATHER KIDEVU

Msio mfahamu mrocky mrocky ndiye huyu anayemiliki blog ya www.blog.co.tz/mrocky. Anawatakia wadau wote wa blog hii popote pale walipo duniani kote sikukuu ya maulid njema,Ijumaa kuu njema,na pasaka njema msherehekee kwa amani.

No comments: