Thursday, March 20, 2008

Sikukuu njema ya Maulid

MIMI WA UKWELI NAWATAKIA WADAU WANGU WOTE WA BLOG HII YA MAJAMBOZ SIKUKUU NJEMA YA MAULID MSHEREKEE KWA FURAHA.
Naruhusiwa kuwafagilia watu wafuatao kwa niaba ya wezao
Neimaya (Totoo),Glory,Jimmy,Mimibaba na washkaji wote wa polo
Sheria na Mavazi,Hakingowi,Shamimu,Tedy Kalonga,
Father kidevu,Fancy,Macrina,Flora,Michuzi,Happy(Miss Ringo,Teddy,na wengine wote ambao kwa namna moja au nyingine sikuweza kuwataja nasema.PAMOJA KATIKA KUSHEHEREKEA.

No comments: