Thursday, March 20, 2008


Miss Tourism Queen International Tanzania 2008, Jamillah Munisi (katikati), na Miss Universe Tanzania 2007, Flaviana Matata (kushoto), Miss Earth Tanzania 2007, Angel Kileo muda mfupi kabla ya kuondoka kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere leo jijini Dar es Salaam kuelekea nchini China anakotarajia kushiriki katika mashindano ya Miss Tourism Queen International mjini Henan yatakayofanyika April 10 mwaka huu.

No comments: