Friday, March 21, 2008

Good Friday!Leo tunakumbuka siku ya kufa bwana wetu YESU KRISTO miaka 2000 iliyopita.Wa kritu wote duniani wanaungana na wenzao kuomboleza siku hii ya kusulubiwa bwana wetu yesu kristo na atimaye kufa na baadae kufufuka siku ya tatu.

No comments: