Friday, March 14, 2008

Happy Birthday My Dear Friend Gaudencia!


Happy birthday to youuu mamaaa G,
Kwa niaba ya Familia na ndugu na marafiki naomba nimpongeze Gaudencia kwa ktimiza miaka kadhaa tangu kuzaliwa kwake,Happy Birthday 2u.
Najua sasaivi uko ughaibuni unazima mishumaa kadhaa.Hongera,Umekua sasa.2 comments:

Anonymous said...

happy bday binti mrembo.

Anonymous said...

Anapatikana wapi huyu dada?Nimempenda ebu tupe mawasiliano nae kama hatojali wa ukweli.