Friday, March 14, 2008

Watangazaji wa bongo.

Hawa ni watangazaji wa Bongo,Nimependa sare zao yaani wanaenda na wakati.

2 comments:

Anonymous said...

Wamependeza ila dada mai acha kuwa mweupe inatosha.

Anonymous said...

Tobaaaaaaaaa wamependeza but Maimartha punguza mkorogo maana ulivyokukubali mpaka umepitiliza......lol!