Sunday, March 16, 2008

HATARI SANA.

Usafiri jijini Dar es salaam umekuwa mgumu sana haswa kwa wanafunzi,Ebu ona hapa ni hatari sana.Hili gari ni la mchanga au lakubeba watu? (Picha kwa hisani ya Fk.)


No comments: