Tuesday, March 18, 2008

Mtoko wa pasaka.Bila kukosa nenda kaburudike

mwanamuziki wa kizazi kipya K-lyn atakuwa kati ya wasanii wa bongo watakao tumbuiza usiku wa Kc & Jojo wanao letwa na Tigo mtandao unaoongoza Tanzania kutoka Marekani mpaka jiji Dar es salaam siku ya Pasaka. ohh pasaka niende wapi ushapajua pa kwenda.Kaa mkao wa kula.

No comments: