Tuesday, March 18, 2008

Muigizaji maarufu.

Monalisa ni muuigizi,anahisia sana katika kazi yake ya kuigiza,Na sasaivi amejikita zaidi kwenye soko la Filam za kibongo.Namkubali sana Mona.

1 comment:

Anonymous said...

Huyu Dada nilikuwa namfil sana.Wa ukweli endelea kutukumbusha mambo ya zamani nasi tupate uhondo.