Sunday, April 6, 2008

Fashion yenu ipo juu ni Jay Z na Beyonce.

Aliyekiunganisha Mungu binadamu hawezi kutenganisha,Wamependeza sana ni Jay Z na Beyonce,Nimependa mlivyo simpooooo kwenye Ndoa yenu.Maisha mema na mkaongezeke.

3 comments:

Anonymous said...

eeehee,kumbe wameshaoana?Nawatakia maisha mema.

Anonymous said...

Nawafill sana Jay z na Beyonce.

Matty said...

Safi sana kwa raha zao!!!!!!