Tuesday, April 1, 2008

New Arrivals....8020 Fashion,Ipo juu Usipime.Shamim,a.k.a Zeze nimependa alivyo pangilia pamba zake,hizo ni baadhi tu na zipo nyingi nenda mwenyewe kajionee kwenye duka lake liliopo katikati ya sinza Mori na Mapambano limeandikwa 8020FASHIONS,Au mpigie kwenye simu namba +255 0784-418941.Nyote mwakaribishwa sana.(Ahsante zeze kwa pic zako nzuri).1 comment:

Anonymous said...

Matt, blog yako imefanana sana na ya Da shamim. Ibadilishe rangi basi!!! ili tuweze kutofautisha ati