Tuesday, April 1, 2008

Mdau wangu Totoo,Apo vp?

Totoo nakuzawadia hii picha kwa sababu ulikuwa unafuatilia sana BSS kwenye web yao ukiwa uko ughaibuni.BSS 2008 Misoji akiwa na madam Ritha siku alipotangazwa kuwa ndiye mshindi.

3 comments:

Anonymous said...

Sawa huyu mdada alikuwa anaimba sana ila R wa Lukas zaidi yake.Basi tu hatuna jinsi.

totoo said...

asasntee kima wanguu..yeah huyu dada alijitihadi..ila yule roger bwana alinikoshaa ile cku ya finali..na gitaa lake kipaji anacho....
asanteee mam matyyyyyy. endeleza libenekee.heheee..pa-1

Anonymous said...

i love rita pausel sanaaaa,shes amazing