Totoo nakuzawadia hii picha kwa sababu ulikuwa unafuatilia sana BSS kwenye web yao ukiwa uko ughaibuni.BSS 2008 Misoji akiwa na madam Ritha siku alipotangazwa kuwa ndiye mshindi.
3 comments:
Anonymous
said...
Sawa huyu mdada alikuwa anaimba sana ila R wa Lukas zaidi yake.Basi tu hatuna jinsi.
asasntee kima wanguu..yeah huyu dada alijitihadi..ila yule roger bwana alinikoshaa ile cku ya finali..na gitaa lake kipaji anacho.... asanteee mam matyyyyyy. endeleza libenekee.heheee..pa-1
3 comments:
Sawa huyu mdada alikuwa anaimba sana ila R wa Lukas zaidi yake.Basi tu hatuna jinsi.
asasntee kima wanguu..yeah huyu dada alijitihadi..ila yule roger bwana alinikoshaa ile cku ya finali..na gitaa lake kipaji anacho....
asanteee mam matyyyyyy. endeleza libenekee.heheee..pa-1
i love rita pausel sanaaaa,shes amazing
Post a Comment