Tuesday, April 8, 2008

Ubunifu wa I love dar


Ili mradi tu kufikisha ujumbe nimependa sana pamba za bongonights.com kwa ubunifu wao,Ebu angalia kijana mtanashati alivyotoka kinyamwezi,nahuyu dada angalia top yake.Big up.

3 comments:

Anonymous said...

Yap Top zipo bomba mbaya.

Anonymous said...

hamna kitu hapa

Anonymous said...

Jamani mbona mmenibandika bila ruhusa yangu...