Tuesday, April 8, 2008

Fashions,Chukua iyo ukashone!

Baby Fancy,Fatma,Salma mpo?
Totoo,Glori apo vp?Ebu wapelekepelekeni hao wapolo.
Apo vipi Chita,Elly,Teddy,Sophy? Msiwenyuma ndugu zangu chukua mishono upendeze.
Utaki kuacha tumbo lipumue chukua huo apo juu upendeze.
Imekaa vyema kabisa wakina dada wa kileo lazima mtanikubali,Matty chukua mshono wa Kitchen Party,na wadau wangu wote,tupendeze sasa wakati ndio huu.Shamim (Zeze)upo?5 comments:

Matty said...

Wajina kazi nzuri tuletee mishono kibao tuchakarike na mafundi ndugu yangu.
Lazima mwaka huu na mie nishone kuchikuchi style.

keisha said...

Safi sana nami naenda kushona.Naona utaki mchezo.

Waukweli said...

Nakuhaidi Matty na wadau wangu wengine wote ntazidi kuwaletea mitindo ya mishono mbalimbali ili mradi twende na wakati.Kupendeza muhimu jamani.
Chagua mshono wako nenda kwa fundi akushonee vizuri utoke,Ni nini kinachokusibu usipendeze wewe mwana dada.
WAUKWELI.

Matty said...

Hhahahahahah aminia WAUKWELItuwekee vitu roho inapenda

Anonymous said...

nice i like it