Sunday, May 4, 2008

Leo tunae Maimartha wa Jesse!

Huwa ana smile ya nguvu.
Duka lake liliopo Kinondoni kwa Manyanya.
Style la vazi lake.
Leo tunae mrembo wetu Maimartha Jesse ni mtangazaji wa Tv chanel 5,huyu dada anapiga fashion zinazoenda na wakati namkubali,ni mjasiliamali wa bongo,namfili sana awapo mzigono huwa anakufanya usitoke kwenye Tv mpaka kipindi chake kiishe,style zake za nywele nazikubali.Big up mamaaa Mai wa Jesse.6 comments:

Hellen said...

Maimatha wewe ni mdada mnzuri tu, embu achana na mikorogo kwani yako unatia kichefufu halafu try ti be natural sometimes! not always na foundation kwenye uso mipoda kibao! kwani siku ukaja kuumwa na kushindwa kufanya vyote hiyo utachekesha ndugu yangu!!! try to be natural huo ni ushauri wangu wa bure!

Anonymous said...

leo umetuwekea joka jingine lililojikoboa migamba

Anonymous said...

AFADHARI UMEITOA ILE PICHA DADA. NAONA UMEONDOA NA COMMENT YANGU. SIO SIRI BLOGU YAKO INABOAAA SANAA TU!

Anonymous said...

ACHANA NA MANENO YA WASWAHILI DADA YANGU MATI, FANYA KWELI, HATA KAMA KUNA MTU ANAKUPONDA KWA CHUKI ZAKE, A CHANA NAYE. NAONA HUYO HAPO JUU NI CHIZI AU HANA KITU CHA KUFANYA. NI WIVU TU UNAMSUMBUA. ENDELEZA MAKAMUZI DADA YANGU.
ITS ME LAMECK WA UKONGA, BANANA.

Anonymous said...

WE LAMECK ACHA KUMDANGANYA MDADA WA WATU WEWE UNAJIPENDEKEZA KWA MAI NINI? AU WEWE SEMA UKWELI BWANA MAI NI MZURI HASWAAAA LAKINI HAYO MAMIKOROGO NI BALAAA

emmy said...

yaani mai nakkubali ile mbaya yaani wee ni wa ukweli achana nao wazushi hao. ila dada punguza make up kidogo utakuwa natural uliye juu dada. mamaaaaaa P diddy