Monday, May 5, 2008

Leo tunae Mrembo machachari sana awapo studio!

Kwani nimebisha Dina ?sijabisha smile hiyo.
Hapo juu yupo kichachanduchachandu zaidi.
Hapo juu akiwa studio,88.4 cloud's Fm,jijini Dar!
Leo tena kama kinavyoitwa kipindi chake ninaye mwana dada mrembo Dina,angalia style yake ya nywele na mavazi yake anakwenda na wakati,ni mpole,mcheshi kwa watu,na hana majivuno,Namkubali sana Dina kwa mavazi yake na awapo mzigoni huwa sikosi kusikiliza na hata kumtumia sms kwenye kipengele chake cha chachandu la kila siku,Leo tena ni kipendi kinachorusha kuanzia saa 3/7 za mchana.Big up Mamaaa Dina.2 comments:

Anonymous said...

Duh!! asanteee dada umetulia unavutia sana. Big up!!!

Andrew said...

Leo tena iko juu ile mbaya,kama usemavyo waukweli kile kipengere cha chachandu usibonyeze,big up Dina wa Marious.